zoo

n (zoo) mahali wafugwapo wanyama pori; bustani ya wanyama. zoology n zuolojia: sayansi ya miundo, umbo na ugawanyikaji wa wanyama. zoological adj -a zuolojia. ~logical gardens n bustani kubwa za wanyama. zoologist n mwana zuolojia.