zone

n 1 ukanda, zoni northern ~ ukanda wa kaskazini equatorial ~ ukanda wa ikweta. 2 eneo maalum. zonal adj -a kanda, -a zoni vt gawa katika kanda. zoning n ugawanyaji wa maeneo mbalimbali.