zero

n 1 sifuri, ziro, alama 0. 2 nukta kati ya hasi na chanya. ~ hour n (mil) saa ya kuanza mashambulizi. ~ in (on) (sl) jizatiti, kaa tayari, -wa makini, elekeza mawazo kwenye.