yule

n (also yule-tide) (arch) sikukuu ya Krismasi; sikukuu ya kuzaliwa Yesu. ~log n kigogo kinachochomwa mkesha wa Krismasi.