you

pron 1 wewe; u-; -ku-; (pl) ninyi, m-, -wa- between ~ and me kati yako wewe na mimi. 2 (colloq) yeyote ~ can never tell haijulikani, huwezi kujua. 3 (preceding a n, esp. in vocatives) wee, (pl) nyie/nyinyi. ~ girls nyie wasichana. your adj -ako, (pl) -enu give me ~r book nipe kitabu chako this is ~r room hiki ni chumba chenu. yours pred adj, pron 1 -ako; -enu is this cup ~rs? je, kikombe hiki chako? 2. (at the end of a letter) wako. yourself (reflex pron) mwenyewe, -ji- did you make it ~rself? umeitengeneza mwenyewe? did you make it for ~rself? umejitengenezea? come by ~rselves njooni peke yenu. (all) by ~rself peke yako; bila msaada. ~'re; ~are ~'d ; ~ had; ~ would. ~'ll; ~ will. ~'ve ; ~ have.