yoga

n 1 yoga, mfumo wa kihindu wa kutafakari na kujidhibiti. 2 mfumo wa mazoezi ya maungo na kudhibiti pumzi. yogi n mwalimu bingwa wa yoga.