yield

vt,vi 1 acha, jitoa, shindwa 2. toa matunda, zaa the cow ~s 3 litres of milk ng'ombe anatoa lita tatu za maziwa. 2 (of material, objects) topea, bonyea, nepa. 3 ~ (to sb/ sth) kubali (kushindwa). ~ (up) sth (to sb) salimu amri, ruhusu, acha upinzani, acha, achia. ~ up the ghost (lit or rhet) -fa n mazao, mavuno, chumo, mapato. yielding adj laini, teketeke, -a kubonyea; (fig) -tiifu, -epesi kushawishika. yieldingly adv.