yeoman

n 1 (hist) mkulima. ~ service n utumishi bora wa muda mrefu; msaada (wakati wa matatizo /dhiki). 2 ~ of signals (GB) mwanamaji ahusikaye na ishara (kwa kutumia bendera, taa n.k.) (US) afisa mdogo mwenye kazi za ukarani. 3 askari mkulima. yeomanry n kundi la wakulima askari (wa kujitolea).