yellow

adj 1 -njano, -a rangi ya manjano. ~ flag n bendera ya manjano (inayopeperusha na meli iliyopigwa karantini). ~ press n magazeti yenye lengo la kusisimua tu. ~ fever n homa ya manjano 2. -oga. yellow bellied adj oga, -enye hofu n 1 rangi ya manjano vt,vi geuka kuwa manjano, geuza manjano. yellowish adj -a njanonjano. yellowness n unjano.