yearn

vi ~ (for sth/to do sth) tamani sana, taka sana, onea shauku. yearning n tamaa, uchu, shauku, kiu adj -enye uchu/shauku. yearningly adv kwa shauku/uchu.