year
n 1 mwaka; kipindi tangu Januari 1 hadi Desemba 31 (mwaka wa kalenda). ~ in ~ out mwaka hadi mwaka, awamu baada ya awamu, mwaka baada ya mwaka. all (the) ~ round mwaka mzima. ~ of grace; ~ of Our Lord mwaka (wowote uliobainishwa baada kuzaliwa Yesu), mwaka. the ~ dot (colloq) zama za kale. 2 mwaka, kipindi chochote cha siku 365 mfululizo. year-book n kitabu cha taarifa (ripoti, takwimu n.k.) za mwaka. ~ long adj -a mwaka mzima mfululizo. the academic ~ n mwaka wa masomo. the financial/fiscal ~ n mwaka wa fedha. 3 (pl) umri. yearly adj -a kila mwaka adv (kwa) kila mwaka. yearling n mnyama wa umri kati ya mwaka mmoja na miwili.