yacht

n 1 yoti: boti dogo/jepesi la mashindano vi tembea/ shindana katika yoti. ~-club n klabu ya wenye yoti. yachting n mashindano ya yoti; kutembea na yoti. yachtsman n mwanariadha wa yoti. yachtsmanship n ustadi wa kuimudu yoti.