x,x

n 1 herufi ya ishirini na nne ya alfabeti ya Kiingereza. 2 (ishara ya Kirumi) kumi. 3 (algebra) idadi isiyojulikana; (fig) jambo lisilo na uhakika. 4 (of film) (hati ya kuonyesha) watu wazima tu.