wrong
adj 1 -baya, -ovu; -a dhambi. 2 (mistaken) -enye (ma)kosa, si sawa, si sahihi. ~ side out nje/ndani. be caught on the ~ foot fumaniwa, shtukizwa, fumwa, kutwa bila kujitayarisha. get out of bed on the ~ side amka vibaya; amka na hasira. get hold of the ~ end of the stick kosa kabisa kuelewa jambo fulani, kuwa na dhana tofauti ya jambo, elewa vingine. in the ~ box mahali pasipostahili/pasipofaa. on the ~ side of fifty etc zidi/vuka miaka hamsini n.k. wrongheaded adj -kaidi; -potovu. ~ headedly adv. 3 enye shida, hali mbaya adv vibaya; visivyo, kwa makosa. get sth ~ -elewa/hesabu vibaya kitu. go ~ potea njia/barabara; -shindwa, tofaulu; vurugika; (colloq) (of a machine etc) haribika n 1 ubaya, dhambi, uovu. ~ doer n mwovu, mtenda mabaya/dhambi; mhalifu. ~ doing n utendaji maovu, dhambi; uhalifu. 2 dhuluma, uonevu. 3 in the ~ -enye makosa vt tendea ubaya; onea; dhulumu; hasiri. wrongful adj si a haki, si sawa, kinyume cha sheria. ~fully; ~ly adv.