write

vt,vi 1 andika. 2 ~ sth down andika; punguza bei/ thamani. ~ sb down as mtu. ~ in for sth omba kwa barua. ~ off (for sth) agiza kwa barua. ~ sth off tunga haraka haraka; futa, maliza. ~ off n kitu kisicho na thamani tena, kitu kilichokwisha. ~ sth out andika kwa kirefu. ~ sth up andika vizuri, kamilisha; tia thamani kubwa kuliko; elezea, sifia. ~ up n maandishi ya tukio. 3 (of book etc) andika, tunga. 4 ~ (to) -andikia. 5 (US pass) onyesha wazi; dhihirisha. written (also writ) large adj dhahiri, wazi. writer n 1 mwandishi. ~r's cramp n kibibi (cha mkono). 2 (GB) karani. 3 (author) mwandishi wa vitabu, mtunzi. writing n 1 mwandiko. 2 (pl) maandishi give sth in ~ writing eleza jambo kwa maandishi. writing-desk n dawati. writing-ink n wino (wa kuandikia). writing-pad n kitita cha karatasi za kuandika. writing -paper n karatasi ya kuandikia (agh barua).