wrinkle

wrinkle

1 n kunyanzi; mkunjo vt,vi ~ (up) fanya makunyanzi; kunyata, kunjakunja; kunjikakunjika. wrinkly adj.

wrinkle

2 n (colloq) kidokezi cha kufaa, shauri la manufaa.