wretch

n 1 maskini, fukara, mtu mnyonge. 2 fidhuli. 3 bazazi; mhuni. wretched adj 1 nyonge; -a huzuni; duni, dhalili. 2 -a kudhalilishwa. 3 -baya, -a ovyo. ~ edly adv. wretchedness n 1 ufukara, unyonge, umaskini. 2 aibu. 3 wasiwasi.