wreath

n 1 shada la maua. 2 zingo (la moshi n.k.). ~ vt,vi (esp in pp) funika; zingira. 2 ~ itself round jizingia; zongomea/ viringisha. 3 ~ sth into fanya taji. 4 (of smoke, mist etc) fanya kuwa katika mzingo kama wa shada.