worm

n 1 (in earth ~) mnyoo; funza; (in bowels) mnyoo, mchango. ~ cast n kichuguu cha mnyoo. the ~ of conscience majuto, toba. 2 (in compounds) worm-eaten adj liotobolewa na funza; (fig) -liochakaa, -a zamani. ~ hole n tobo la funza katika tunda/ mti. 3 (fig) bwege, boza. even a ~ will turn (prov) uvumilivu una kikomo, hata bubu atasema, msalie mtume. 4 miduara/nyuzi za hesi vt 1 ~ oneself/one's way in/into/ through penya/pita (polepole au kwa shida). ~ out (of sb) pata habari (kwa kusaili sana). 2 toa minyoo. wormy adj -enye minyoo; -kama minyoo; -lioharibiwa na minyoo.