world

n 1 the ~ n dunia, nchi zake na watu wake. the Old W ~ n Ulaya, Asia na Afrika. the New W~ Marekani. make a noise in the W~ vuma, -wa maarufu. a citizen of the ~ raia wa dunia. It's a small ~! vilima havikutani. 2 (as 1 above; used attrib) -a dunia, -a ulimwengu a ~ language lugha ya ulimwengu. the W ~ Bank n Benki ya Dunia. ~ wide adj -a duniani kote. 3 wakati, maisha this ~ and the next maisha ya sasa na baada ya kifo. ~ weary adj -liochoka kuishi. 4 ulimwengu. in the ~ ulimwenguni. all the ~ like sb/sth nayofanana kabisa na. be all the ~ to sb -wa pekee kwa mtu fulani. not for the ~ kamwe, kabisa, asilani. be/feel on top of the ~ jawa na furaha/ hamasa. be out of the ~ (of sth) (sl) -wa bora sana, wa -a ajabu. carry the ~ before one fanikiwa. a ~ of sth (-ingi/ kubwa) sana. think the ~ of sb/sth penda/husudu/ stahi sana mtu/kitu. 5 vitu/ shughuli za watu, mambo ya dunia. the ~, the flesh, and the devil majaribu. the best of both ~s mema kutoka pande zote (hata ya kikinzana). forsake/ renounce the ~ fuata mambo ya kiroho, hama dunia. 6 mambo ya kibinadamu; maisha, malimwengu. know the ~ pata uzoefu wa maisha. 7 ulimwengu, jamii the ~ of sports ulimwengu wa michezo. 8 the ~ n watu, jumuia (pamoja na taasisi na kawaida zake) what will the ~ say? watu watasemaje? worldly adj -a dunia; -a malimwengu, -a kupenda anasa za dunia. ~ly wisdom n akili/ hekima ya kuendeleza maisha. ~ liness n.