word

n 1 neno. a play on/upon ~s ulimbuaji maneno. be not the ~ for it tokuwa maelezo yake; wa maelezo yasiyoridhisha. (repeat sth) ~ for ~ (rudia) neno kwa neno (translate sth) ~ for ~ tafsiri sisisi/neno kwa neno. in a/one ~ kwa kifupi. by ~ of mouth kwa mdomo. 2 taarifa, kauli, neno. eat one's ~s kiri kosa; futa kauli na kuomba radhi. have a ~ with sb zungumza na mtu. have ~ (with sb) gombana na. have the last ~ funga mjadala. put in/say a good ~ (for sb) tetea mtu. suit the action to the ~ timiza mara moja jambo ulilosema. take sb at his ~ amini kauli yake. big ~s n majisifu, majigambo. on/with the ~ mara tu baada ya kusema. a ~ in/out of season ushauri unaotolewa wakati unapohita jika/usipohitajika. the last ~ on (a subject) neno la mwisho. the last ~ (in sth) taarifa/ habari motomoto, -a kisasa, bora kabisa. 3 (sing, without def art) habari, taarifa. 4 (sing only with a possessive) ahadi, uthibitisho. be as good as one's ~ timiza ahadi. give sb one's ~ (that) ahidi. keep/ break one's ~ timiza/ vunja ahadi. take sb's ~ for it amini mtu asemacho. upon my ~ kweli kabisa; lo, lahaula. 5 (sing only) amri; ishara. 6 (in the Christian religion) the W~ (of God); God's W~ Neno (la Mungu) (agh Injili), (jina la) Yesu Kristo. 7 (compounds) ~ book n kamusi ndogo; faharasa. ~ division n kutenga neno katika sehemu. word-formation n uundaji wa maneno. ~ painter n mtu hodari wa kujieleza kwa maneno. ~ -painting n kueleza kwa maneno. word-perfect adj -enye kujua somo kwa moyo, hodari wa kusoma kwa ghibu; lokariri. ~-picture n taswira ya maneno, maelezo (mafafanuzi) stadi (kwa maneno). ~-play n mchezo wa maneno. ~-processor n kichambua maneno, kompyuta. ~splitting n 1 udanganyifu; utengaji maana za maneno vt eleza kwa maneno (sing only) jinsi jambo linavyoelezwa; uteuzi wa maneno katika kuelezea maana. wordless adj kimya; bila maneno. wordy adj -a maneno mengi (pasi lazima). wordily adv kwa maneno mengi. wordiness n.