woo

vt 1 (old use) chumbia, bembeleza (kwa nia ya kuoa). 2 tafuta, jaribu kupata (mafanikio, sifa, usingizi n.k.). 3 tafuta kuungwa mkono (na wapiga kura, wateja, wafanya biashara n.k.). wooer n.