n 1 mshangao. no/little/ small ~ si shani/ajabu. ~ landn nchi ya neema; nchi ya kubuni/kufikirika lioduwaa/kinduwaa. ~ struckadj -liopigwa na bumbuwazi, -a kustaajabu, lioshangaa mno. 2 ajabu, kioja, mzungu, shani. signs and ~s miujiza. work ~s fanya miujiza, fanya vizuri sana. a nine days' ~ shani ya muda mfupi; kitu kinachovuma kwa muda mfupi. for a ~ ni ajabu. it is a ~ (that) ni ajabu kwamba. what a ~ ajabu ilioje! ~vi,vt 1 ~ (at sth) staajabu, shangaa, ona ajabu. 2 ~ (about sth) fikiria, wazia. 3 jiuliza. wonderinglyadv kwa ajabu, kwa mshangao. wonderfuladj -a ajabu, -a shani, -a kustaajabisha, -zuri sana. wonderfullyadv. wondermentn ajabu, mshangao. wondrousadj(arch, or liter) -a ajabu/shani, -a kustaajabisha, -a kushangaza adv(only with adj)he was wondrous kind alikuwa mwema ajabu.