witness

n 1 (often eye ~) shahidi. ~ box n (US also ~stand) kizimba cha shahidi kortini. 2 ushuhuda, ushahidi. bear ~to sb/sth unga mkono; thibitisha sahihi. 3 shahidi, mtu anayethibitisha sahihi ya mtu mwingine. 4 kielezo cha ushahidi, kithibitisho vt,vi 1 shuhudia, ona -enyewe. 2 ~ to sth/ doing sth toa ushahidi. 3 thibitisha sahihi ya mtu mwingine. 4 onyesha, thibitisha.