witch

n 1 mchawi; mlozi mwanamke; (fig) mwanamke mwenye ucheshi, mvuto ajabu. witchcraft n ulozi, uchawi, usihiri remove ~craft adua, sua, zingua, tegua. ~doctor n mlozi wa kiume, mganga, mchawi. ~ hunt n msako wa wachawi; (fig) msako na uonevu wa watu (k.m. wale wanaodhaniwa kuwa wasaliti). witchery n 1 uchawi. 2 (fascination, charm) ucheshi, ushawishi wa kushinda moyo, uzuri wa kupoteza akili, mvuto, maliwazo vt,vi fanya uchawi, loga. ~ ing adj.