wit

wit

1 to ~ (leg) maana yake, yaani, ndiyo God ~s Mungu anajua.

wit

2 n 1 akili. be at one's ~'s end taka kuchanganyikiwa, tojua la kufanya. out of one's ~s liochanganyikiwa, -enye wazimu, -enye fadhaa. have a ready ~ wa na majibu/vichekesho vya haraka. have/ keep one's ~s about one -wa mahiri, tayari kung'amua na kutenda. live by one's ~s ishi kwa ujanja. 2 mwerevu, mtu hodari na mcheshi. 3 werevu, ucheshi, mzaha, utani. witty adj cheshi, chekeshi. witticism n misemo/maneno ya akili/ kuchekesha. witless adj -pumbavu.