wire

n 1 waya. pull (the) ~s (fig) tumia njia za siri kupata jambo; endesha kikaragosi. live ~ n waya wenye umeme; (fig) mashughuli, mtu afanyae kazi kwa bidii. wire-cloth n wavu wa nyuzi za chuma. ~-cutter n chombo cha kukatia waya. ~-netting n wavu wa nyuzi za chuma shaba. wire-puller n mtu avutaye mambo kwa siri. wire-pulling n 1 ushawishi. 2 shauri la siri. ~ rope n kebo, kamba ya waya. ~ haired adj -a kipilipili. ~ wool n kumbi la waya/chuma. 2 (colloq esp US) simu ya upepo vt,vi 1 funga, kaza kwa waya. 2 weka, tia (nyuzi za) umeme. 3 (telegraph ) piga simu, arifu kwa simu. 4 tega/nasa kwa waya. wiring n (mfumo wa) waya za umeme. wiry adj embamba na shupavu. wireless n simu ya upepo; redio vt peleka habari kwa redio adj -a redio, -a simu ~less station stesheni ya simu ya upepo.