winter

n majira ya baridi (kali) a man of 50 ~s mwenye umri ya miaka 50. ~ garden n mimea ndani ya chumba cha glasi vi,vt kaa majira ya baridi ~ in France kaa Ufaransa majira ya baridi. ~ tide n kipindi cha baridi. ~of wintry adj -a majira ya baridi, -a baridi kali; (fig) baridi, a uongo -a ~y smile tabasamu baridi.