wine

n divai, mvinyo. new ~ in old bottles mambo mapya yasiyoweza kuzuilika. ~ glass n bilauri ya divai. ~-grower n mlimaji zabibu. wine-press n kishinikizo cha zabibu. ~-skin n mfuko (wa ngozi yote ya mbuzi) wa divai. ~-taster n mwonja divai. 2 pombe (inayofanana na divai). palm ~ n tembo vi,vt kunywa mvinyo. ~ and dine sb karibisha mtu chakula (na mvinyo). winery n kiwanda cha mvinyo.