window

n dirisha. ~ box n sanduku la kuoteshea maua dirishani. ~-display n maonyesho ya bidhaa dirishani. window-dressing n 1 mpangilio wa bidhaa (dirishani). 2 (fig) (ustadi wa) kujionyesha vizuri/kujipendezesha, upendezeshaji. ~-ledge n ukingo wa dirisha. ~ envelop n bahasha (enye kioo/ kidirisha). ~-pane n kioo cha dirisha. ~-seat n kiti cha dirishani. windowshopping n kutia macho nuru, kuangalia bidhaa dirishani. a ~ on the world (fig) kifunua macho; njia yoyote ya kujua ulimwengu vizuri zaidi.