wilful

adj 1 -kaidi, -gumu. 2 -a kusudi, -liokusudiwa ~ damage hasara ya kusudi. wilfully adv makusudi; kwa kusudi, kwa kutaka. wilfulness n ukaidi, ugumu; ushupavu.