wild

adj 1 (animals) -a mwitu, -siofugwa ~ animal mnyama mwitu; (plants) -a gugu, -a kujiotea -enyewe, -a porini. ~ cat n paka shume; (attrib adj) -a uenda wazimu, -siowezekana; siopangwa. ~ fowl n (esp) ndege wa kuwindwa. ~ goose n bata mwitu ~ goose chase n shughuli isiyo na manufaa. 2 (of horses, game birds) -a kukurupuka. 3 (of persons, tribes etc) -shenzi, -siostaarabika, kali. 4 (of scenery, areas of land etc) -a mahame, -a pori, -siokaliwa. 5 (violent) -a nguvu nyingi, -a dhoruba. 6 (ungoverned) -liohemkwa/vurugikiwa, -sio makini; -a kuchanganyikiwa ~ with anger liohamaki sana. 7 (colloq) -a kupenda sana, -a shauku/raghaba/ hamu. be ~ about sb/sth fia mtu/ kitu, -wa na hamu juu ya kitu. 8 ovyo, mchafukoge. ~ shooting n kufyatua risasi ovyo. run ~ tenda upendavyo (bila kudhibitiwa). spread like ~ fire (of reports, rumours) enea haraka sana. 9 (of a playing card) -enye thamani yoyote the ~s n mwitu, pori, nyika adv ovyo ovyo. wildly adv ovyo ovyo, bure, bila mpango. wilderness n.