width

n 1 upana; (fig) upana wa mawazo, akili. 2 (kipimo cha) upana. 3 kitambaa cha upana fulani.