wide

adj 1 -pana, -liotanuka. 2 ingi, kubwa, pana. 3 wazi kabisa. 4. nje ya, -a mbali. 5 (sl) janja, danganyifu; -enye uhodari wa biashara. ~ boy(s) mtu mjanja/ mdanganyifu; mfanyabiashara hodari adv 1 mbali. 2 wazi kabisa. ~ awake adj (fig) makini, -a macho. be ~ awake -wa macho/tayari. 3 kwa mapana. ~ spread adj -liotapakaa, -lioenea pote, -a kusambaa. widely adv 1 sana, kwa kiasi kikubwa be ~ly read somwa sana. 2 hapa na pale, kwa vipindi vipana. 3 kwa kuenea/kutapakaa. widen vt,vi tanua, panua, eneza.