wicket

n 1 ~ (door or gate) kilango. 2 kidirisha cha kuuzia tikiti. 3 (cricket) kilango cha vijiti vitatu kinacholindwa na mwenye kushika beti take a ~ shinda mshika beti. ~-keeper n (cricket) mdaka mpira aliye nyuma ya kilango.