wicked

adj 1 (of person, his acts) -ovu, habithi. 2 -enye inda, -a kuumiza. 3 tukutu; tundutundu. wickedly adv kwa uovu. wickedness n uovu; ufisadi.