whorl

n mzingo (duara au kama duara). whorled adj -enye mzingo, -a mzingo, (kama alama zilizo katika ngozi ya ncha za vidole).