whittle

vt,vi 1 ~ (sth) away chonga, kata vipande vyembamba; (fig) punguza. ~ (away) at sth chongachonga. ~ sth down chongachonga. 2 punguza vipande vidogo vidogo; (fig) punguza idadi/ kiasi. 3 chonga.