1adj 1 -eupe. bleed (sb/sth) ~(fig) kamua/nyonya mtu. 2 (compounds)~ alloyn fedha ghushi. ~ antn mchwa. ~ baitn dagaa. ~ bearn dubu mweupe. whitecapsn mawimbi meupe. ~ collarn kazi isiyo ya sulubu. ~ coffeen kahawa yenye maziwa. ~ white flagn ishara ya kusalimu amri. ~ heatn joto kali linalofanya chuma kuwa cheupe; (fig) hamaki, harara kali. ~ hotadj -a harara, -enye hamaki. the W~ Housen Ikulu (ya Rais wa Marekani); sera ya serikali ya Marekani. W ~halln mtaa wa London (ambapo kuna ofisi za serikali); sera ya serikali ya Uingereza. ~ leadn risasi nyeupe (yenye sumu inayotumiwa katika utengenezaji rangi). ~ lien uongo mtakatifu, uongo usiodhuru, maneno ya kupoza/kuondosha njiani. ~ lippedadj -enye midomo myeupe (kwa woga). ~ liveredadj oga, mwoga. ~ man/womann mzungu. ~ meatn nyama ya kuku, ndama au nguruwe. ~ metalnsee~ alloy. ~ paper(GB) waraka/ripoti rasmi ya serikali ya habari maalum. ~d sepulchren mnafiki. ~ slaven msichana mzungu anayelazimishwa kuwa malaya/ kahaba (hasa kwa kudanganywa kwenda ng'ambo kwa ahadi ya kuajiriwa). ~ smithn mfua bati; chokaa. ~ thornn miti ya miiba inayotumiwa kujengea wigo. ~ tien vazi rasmi la jioni; tai ndogo nyeupe. ~ washn chokaa; (fig) mbinu ya kuficha makosa ya mtu vt(fig) ficha makosa ya mtu.
white
2n 1 rangi nyeupe. 2 mzungu, mtu mweupe. 3 ute wa yai. 4 mtoto wa jicho. whitenessn weupe. whitenvt,vi fanya -eupe, paka/tia rangi nyeupe; geuka kuwa -eupe. whiteningn 1 chaki, chokaa. 2 dagaa.