whistle

n 1 mluzi; mbinja, mlio. ~ stop n (US) kusimama kwa muda mfupi (ili kuzungumza na watu). 2 filimbi, kipenga. 3 wet one's ~ (sl) nywa, pata kinywaji vt,vi 1 piga mluzi/ mbinja/filimbi, lia. ~ for sth ahidiwa/tegemea/wa na ahadi ya uongo. ~ down the wind telekeza kitu. ~ in the dark fanya jambo la kujitoa woga. 2 ~(up) piga mbinja; toa ishara; ita kwa mbinja. 3 pita haraka, (na kutoa mlio wa mluzi).