whisk

n 1 (brush) burashi (ya kupangusia nguo) fly ~ usinga, brashi ya nzi (iliyotengenezwa kutokana na manyoya). 2 mchapo (mayai). 3 pigo jepesi la upesi, panguso. vt,vi ~ sth/sb off/away pangusa upesi, 1 tingisha, punga mkia hewani. 2 chukua/twaa/ peleka kwa ghafla. 4 (egg etc) koroga, pigapiga, chapa.