whine

vi,vt lia (kama mbwa anayeogopa); (of person) nung'unika. whiner n mlalamishi; mtu/mnyama anayetoa mlio huu n mlio (wa mbwa anayeogopa); mlio mkali wa kunung'unika (unaoendelea kwa muda mrefu). whinny vi (of horse) lialia n mlio wa farasi.