whiff

n 1 mpumuo wa ghafla, mpulizo wa ghafla. 2 kishindo cha ghafla cha upepo ~ of fresh air mpulizo wa hewa safi. 3 harufu vt,vi vuma; puliza hewa kidogo kidogo.