wheel

n 1 gurudumu. ~s within ~s (fig) matata mengi; mchanganyiko wa mambo. put one's shoulder to the ~jitahidi; saidia the man at the ~ dereva, mwendeshaji. ~ barrow n toroli. ~ base n kitako cha gari. wheelchair n kiti cha magurudumu. ~ house n chumba cha nahodha katika meli. ~-man n mpanda baiskeli.~ wright n fundi wa magurudumu. 2 potter's ~ n gurudumu la kufinyangia vyungu, kurugo. paddle ~ n makasia. 3 mwendo wa gurudumu vt,vi 1 sukuma; vuta; beba, peleka. 2 enda; pinda, kata. ~ and deal vi fanya hila katika siasa/biashara.