what

adj 1 (interr) ipi, gani. 2 (exclamatory) unasemaje! kweli! 3 chochote (ambacho); (pron) (inter) nini. ~ for kwa kazi gani, kwa nini. ~ for n (colloq) adhabu. ~ like yukoje. ~ if itakuwaje, itakuwa vipi ~ though (liter) ijapokuwa, ingawa, hata kama. ~ about/of kuhusu nini; kuna habari gani kuhusu. ~ of it? (or, mod colloq) So ~ kwa hiyo? sasa? and ~ not na kadhalika. and/ or ~ have you pamoja na hayo; kadha wa kadha, na kadhalika. ~ not na vinginevyo; kibweta. I know ~ nina wazo/pendekezo, najua. I/I'll tell you ~ (hebu) sikiliza. know ~'s~ tumia akili, elewa mambo. ~do you call him/her/it/them; ~'s his/ her its/their name ni nani hii, nani hino, (rel) (pron) kitu chacho. ~ with ... and (~ with) kutokana na (sababu kadhaa). whatever adj 1 (emphatic for what) oote ile, iwayo yote. 2 (placed after n in a negative contex, giving emphasis to the negative) kabisa do ~ ever you like fanya upendalo (pron) 1 hata iweje. 2 chochote. 3 whatever (colloq) lolote lingine, -o ote -ingine. ~-so-e'er (poet for) ~-so-ever adv (emphatic for) ~ever, whate'er (US) adj = whatever.