whale

n 1 nyangumi. ~ bone n mfupa wa kinywani mwa baadhi ya aina za nyangumi. 2 (colloq) starehe. a ~ of a time starehe/furaha sana vi winda nyangumi. whaler n 1 mwinda nyangumi. 2 chombo cha kuwindia nyangumi. whaling -gun n bunduki ya kuulia nyangumi.