whack

vt piga kwa kishindo (mtu/kitu) n 1 (sound of) pigo. 2 (sl) mgawo, mgawanyo. whacked adj (colloq) (of a person) liochakaa, liochoka, hoi. whacking n kipigo; kuchapa (barabara). adj (colloq) kubwa ya aina yake/ sana. adv (colloq) sana. whacker n kitu kikubwa cha aina yake.