wet

adj 1 -a majimaji, chepechepe, -liolowa maji. ~ dock n gati lenye maji. ~ nurse n mwanamke aliyeajiriwa kunyonyesha mtoto wa mwingine. 2 -a chepechepe, -a mvua. ~ paint. rangi ambayo haijakauka; rangi mbichi. 3 -enye kuhusu pombe. 4 (sl) (of a person) -oga, -a wasiwasi n 1 the ~ mvua. 2 unyevu; vt tia maji, lowesha, nyunyiza maji. wetting n kulowanisha, kulowana.