west

n magharibi, machweo ya jua. The W ~ Ulaya na America; (world of politics) Ulaya Magharibi na Bara; (US) eneo la kati ya mto Mississippi na bahari ya Pasifiki; sehemu ya magharibi ya nchi yoyote. 2 (attrib) toka magharibi. ~ end adj -a magharibi. go ~ (sl) potea, dhurika. ~ of magharibi zaidi ya. ~ward(s) adv enda upande wa magharibi. westerly adv, adj -a magharibi, -a upande wa magharibi. western adj -a (toka) magharibi the W~ern Hemisphere n Amerika ya kaskazini na kusini n 1 filamu ya makauboi. 2 riwaya ya makauboi. westerner n mwenyeji wa magharibi. westernize vt,vi fanya -a kimagharibi;leta utamaduni wa kimagharibi. westernization n. westernmost adj -a magharibi ya mbali.