welter
welter
1 vt gaagaa, vingirika; jinyo- nganyonga; tota katika damu n.k. n (sing only) vurugu, ghasia, machafuko the ~ of the waves msukosuko wa mawimbi.welter
2 n ~ weight (esp in boxing) uzito wa wastani (agh kati ya kilo 61-66.6). ~ race n mbio za wapanda farasi (wenye uzito mkubwa).